Mbunge
wa Kigoma Mjini kupitia ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameonekana
kutofurahishwa na uamuzi wa Rais Magufuli kusamehe wafungwa ambao ni
wanamuziki mashuhuri, Nguza Viking (Babu Seya) na mwanaye 'Papii Kocha'.
Tangu utangazwe msamaha huo, Zitto amekuwa akiandika na kutoa kauli zinazoonesha kupingana na jambo hilo licha ya Rais kuwa na mamlaka kikatiba kumsamehe mfungwa yeyote akiona inafaa
Tangu utangazwe msamaha huo, Zitto amekuwa akiandika na kutoa kauli zinazoonesha kupingana na jambo hilo licha ya Rais kuwa na mamlaka kikatiba kumsamehe mfungwa yeyote akiona inafaa
Miongoni mwa kauli zake huko Twitter;
"I have read judgement that convicted Babu Seya and son. And judgements at the high court appeal, appeal at court of appeal and petition at African Court. I am appalled by decision to pardon convicted rapists. Devastated by statements to congratulate such a decision" ZZk.
Rais Magufuli alitangaza kuwasamehe Nguza Viking na Mwanaye Papii Kocha katika uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma katika maadhimisho ya miaka 56 ya Uhuru wa Tanganyika ambapo maamuzi hayo ya Mh Rais yamepewa idhini na yapo kwa mujibu wa katiba
"Waliozomea na kuzodoa ahadi ile walikuwa sahihi. Wanaomzomea Rais kwa kutoa msamaha wapo sahihi pia. Hakuna sababu kuzodoana. Tukemee wabakaji kusamehewa kiholela" ZZK.
Rais Magufuli alitangaza kuwasamehe Nguza Viking na Mwanaye Papii Kocha katika uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma katika maadhimisho ya miaka 56 ya Uhuru wa Tanganyika ambapo maamuzi hayo ya Mh Rais yamepewa idhini na yapo kwa mujibu wa katiba
0 MAONI YAKO:
Post a Comment