December 10, 2017

Image may contain: 1 person, text 

Mwanamuziki Afande Sele Mfalme, ameonekana kutokukubaliana na wasanii wa tanzania wanaotaka kuimba kama fulani. Akizungumza na Sammisago Afande amejaribu kumzungumzia mwanamuziki chipukizi toka mkoani Morogoro Agatha Mbale anayefanya poa na wimbo wake wa Shujaa. Afande amejaribu kumzungumzia Agatha kutokana na nia yake ya kimuziki kuitaka kuimba na kuimba kama mwanamuizki mwingine wa Hip Hop hapa Bongo anayeitwa Chemical


                   

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE