Habari! Natumai u mzima napenda kukuwasilishia wimbo
mpya toka kwa Azma Mponda toka Tanzania, akimshirikisha Gilad Millo
mwanamuziki kutoka Kenya ambaye hivi karibuni alishinda tuzo mbili za
afrimma..
Shubiliga ni wimbo wa
mapenzi, ukimaanisha vumilia, Audio imetengenezwa na Kita the pro/
Alfizoh ambao awali walitengeneza wa wimbo wa Azma feat Belle 9 Astara
Vaste.. na video imefanywa na director Mhando brian toka kenya.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment