Unamfahamu Producer Triss? Unaufahamu wimbo uliomtoa Mwanamuziki Belle Nine? Unafahamu kwamba wimbo ule ulifanywa na producer Triss katika studio za Rocker Tzee Mjini Morogoro?
Sasa basi kupitia ukurasa wa Facebook wa Triss amekumbushia jinsi alivyomtoa Belle Nine. Soma hapa chini
Nakumbuka 2008 ilikua asubuhi belle 9 alinitembelea studio rocka tz
records wakati tuko morogoro ,na nilichofanya nilikaa kwa piano na
kucheza chords za sumu ya penzi nikampa beat then tukarecord hit ya
dunia mimi na belle 9 tuliweka historia ambayo bado rekodi yake
haijavunjwa baada kuproduce wimbo wa sumu ya penzi,ambao mpaka kesho
sisahau tulivyokesha kuutengeneza na ukawa mkubwa sana,nilikua
producer wa hiyo project ,lakini niliiona mbali sana,na bado naamini
belle 9 ni kati ya wasanii wenye uwezo mkubwa sana ,na tuna mpango wa
kuvunja hiyo rekodi na mdogo wangu kwani bado ni deni kwetu
0 MAONI YAKO:
Post a Comment