January 01, 2018

Image result for masoud kipanya 
Mchoraji wa katuni maarufu nchini na mtangazaji wa Clouds Media Group bwana Masoud Kipanya, emepost kupitia ukurasa wake wa Twitter akimshukuru yule aliyesambaza taarifa za kutoweka kwake ghafla. Masoud Kipanya leo hii zilisambaa taarifa kwamba amekamatwa na Polisi akihusishwa na kuchora katuni inayochonganisha serikali na wananchi huku wengine wakisema Masoud ametekwa na watu wasiojulikana. Jeshi la polisi lilitoa taarifa ya tukio hilo lakini baadaye Masoud akapost haya kwenye ukurasa wake wa Twitter

1h1 hour ago
Poleni kwa usumbufu na asanteni kwa kujali hali za wengine. Niko salama Alhamdulillah. Namshukuru pia aliyesambaza taarifa. 'AMESAIDIA'

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE