Aliyekuwa mtangazaji maarufu na mkongwe nchini Limonga Justine Limonga, amefariki Dunia.
Machaku
AUDIO: Baada ya kuripotiwa kifaru kupotea JWTZ wamezungumza haya
Moja ya gazeti limeripoti habari ya kupotea kwa Kifaru cha Jeshi la wananchi wa Tanzania ‘JWTZ’, baada ya taarifa hizo kusambaa Kanali Ngemera Lubinga amekanusha taarifa hizo za kuibwa kwa kifaru hicho na ames… Read More
Diamond na P.Square wana hili jambo kubwa kabisa, wanakuletea kwako
Zile picha zilizokuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii zikiwahusisha Diamond na P.Square zilizokuwa zikizua maswali mengi, sasa ukweli wake umejulikana. Diamond Platnum toka nchini Tanzania anatarajia kuachia… Read More
Habari za Magazetini leo hii Jumanne 21 june 2016
Habari za Asubuhi hii mpendwa msomaji. Karibu tena kwa mara nyingine katika kurasa za Magazetini leo hii Jumanne 21 june 2016. Tumekukusanyia vicjhwa vya habari katika magazeti haya. Ukihitaji habari… Read More
Bemba ahukumiwa miaka 18 jela
Mahakama ya kimataifa ya uhalifu The Hague imemhukumu kifungo cha miaka
18 jela, aliyekuwa makamu wa zamani wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya
Kongo, Jean-Pierre Bemba, kwa makosa ya uhalifu wa kivita
Aliposoma… Read More
Kama ulizimiwa sim yako na TCRA basi hii knakuhusu kabisa
Mkazi wa jijini Dar es Salaam akiwa na mfuko ukiwa na simu
Orijino baada ya kununua katika Gulio la siku mbili la
simu,Lililoandaliwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika Makao makuu
ya kampuni hiyo,Mlimani City
… Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment