Rais
Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa
pamoja na Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgallu, sambamba na wananchi
wa mji wa Msoga Mkoani Pwani wamesherehekea kwa pamoja kuukaribisha
mwaka mpya wa 2018 katika hafla iliyoandaliwa na Dkt. Kikwete kijijini
kwake Msoga
.

0 MAONI YAKO:
Post a Comment