Kwa mara nyingine tena Mwanamuziki Aslay kukinukisha Morogoro, safari hii akiwa na list ya mkali wa Singeli nchini Msaga Sumu, huku mwana dada Maua Sama akilipamba jukwaa kwa zile style zake kali.
Tayari wasanii hao wameshatibitisha kukiwasha siku ya Jumamosi ya 03 February 2018 palepale katika ukumbi wa Samaki Spot Kihonda Bima. Unasemaje sasaa
0 MAONI YAKO:
Post a Comment