![](https://i.ytimg.com/vi/easR_UosRgI/hqdefault.jpg?sqp=-oaymwEXCPYBEIoBSFryq4qpAwkIARUAAIhCGAE=&rs=AOn4CLCbGbbOlV0R5hXN6DfltZEKjL9WjA)
Mambo vp mdau wa ubalozini.blogspot.com. Kutokana na maombi ya wadau wengi kuwa na uhitaji wa kumbukumbu za muziki wa kitambo wa Bongo Fleva, sasa tumeirudisha tena ile Sagment ya #BFTBT ambayo itahusisha zile nyimbo za zamani za bongo fleva zilizotamba sana miaka ya nyuma. Leo tunaanza na wimbo wa Bwana Misosi Ft Juma Nature & Fid Q unaitwa Pilato na Game
Video yake ipo hapa chini. Tazama kisha Comment unakumbuka nini na wapi siyo mbaya ukishare na washkaji zako unaotaka wakumbuke kitambo kile wimbo huu unafanya poa
0 MAONI YAKO:
Post a Comment