January 14, 2018

Kutoka mkoani Morogoro, mwanamuziki Mash J, Ametuletea wimbo wake mpya kabisa unaintwa Mang'a huku katika wimbo huwo akiwa na mwanamuziki Brya B. Audio ya wimbo imefanyika katika Studiao za Kwanza Record zilizopo Forest mkoani Morogoro na Producer akiwa Vennt Skillz

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE