Mwanamuziki Diamond Platnumz amekili kwamba uongozi wake wa WCB umemzui kuzungumzia chochote juu ya nyumba yake mpya. Diamond amesema ameambiwa bado kufanya inteview , akiwa tayari atazungumzia
Kairuki: Serikali Haitamvumilia Mwenye Vyeti Feki
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma Mh. Angela Kairuki
Inasadikiwa kuwa watumishi 4,300 wapya wanataajiriwa kuajiriwa katika kada ya elimu na wasanifu wa maabara ambapo ajira hizo mpya zinakuja bada ya kukamili…Read More
Huyu ndiyo waziri mpya wa fedha wa Afrika Kusini
Waziri wa Fedha mpya wa Afrika Kusini, Malusi Gigaba, amesema wakati umefika wa kubadilisha sana uchumi.
Amesema, kwa muda mrefu Afrika Kusini inahodhiwa na wawekezaji wa nchi za nje.
Pia amekiri kwamba kutolewa k…Read More
Rais wa Korea kusini akamatwa
Rais wa zamani wa Korea Kusini Park Geun-hye,aliyeondolewa madarakani mapema mwaka huu, amekamatwa Ijumaa hii.Kwa mujibu wa jaji, kukamatwa kwa Bi. Park kumetokana na hofu kuwa anaweza kujaribu kuharibu ushahidi w…Read More
Mini Power Roulette ni ushindi
-
Ukiwa na buku tu Meridianbet kasino ya mtandaoni inakuongezea mara dufu
Zaidi, kupitia sloti...
The post Mini Power Roulette ni ushindi first appeared ...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment