January 12, 2018

Larry Page in the European Parliament, 17.06.2009 (cropped).jpg 
Lawrence Edward Page
Watu wengi tumekuwa tukiumiza kichwa juu ya kumjua muanzilishi wa Search Engen kubwa ulimwenguni yaani Google lakini tumekosa majibu ya kueleweka. Sasa leo tunakuletea huyu bwana aliyeitaka dunia katika teknologia ya mtandaoni
 
Anaitwa Lawrence Edward Page -Larry Page ambaye ni mzaliwa nchini Marekani mwaka March 26, 1973

Huyu ndiye mwanzilishi wa mtandao wa mkubwa Google hapa duniani akiwa na mwenzake Sergey Brin..
Larry Page mwaka 2016 atajwa kama mtu 12 mwenye utajiri mkubwa duniani...
Licha ya kumiliki mtandao mkubwa google anamiliki makampuni makubwa kama Alphabet Inc, PageRank
Larry Page alipata elimu yake juu katika vyuo vya Stanford Universit na Michigan State University,,,
Larry Page amefanikiwa kupata tuzo mbalimbali za kimataifa kutokana na mafanikio yake kya kuendeleza technologia duniani..
Larry Page ana historia ndefu isipokuwa nimejaribu kuelezea kwa ufupi ila nilichofunga ni kwama Google imeanzia mbali mpaka kufikia leo kuwa mtandao mkubwa kwa upande wa search engine za hapa duniani .....
Larry Page ndio chanzo mtandao wa yahoo kukosa soko hapa duniani kama mnakumbuka hapo awali mtandao wa Yahoo ndio ulikuwa unaongoza lakini kutokana mbunifu ambao ameufanya Larry Page kwenye mtandao wa Google watu wote wanatumia Google...
Larry Page ndio chanzo cha watu kuacha kutumia email za Yahoo na watu wengi kukimbilia GMAIL ..kama mnajua Gmail ina ulinzi mkubwa kwahiyo ni vigumu sana mtu kuvamia akauti yako ya Gmail ndio maana watu wengi kwasasa wanatumia Gmail

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE