AUDIO SONG// NIPE NAFASI - POISON ft STAMINA $ KENNIE
Imma Poison ni dogo wa miaka 15 toka mjini Morogoro, ameachia wimbo wak eunaitwa Nipe nafasi, humu ndani amewashirikisha Stamina na mkali wa R $ B toka Mortogoro Kenny Kennie
Wimbo huu umetayarishwa na Pro…Read More
KIJANA MOSES SHAWA AKAMATWA NA NYETI ZA MWANAUME
Pichani hapo chini
nikijana anayefahamika kwa jina la Moses Shawa, kijana huyu ni mkazi wa
kijiji cha Mzimba nchini south africa. Kijana huyu amekamatwa na sehemu nyeti za mwanaume kama zinavyo onekana hapo kwenye …Read More
BREAKING NEWS// MWENDESHA BODABODA AUAWA KWA KUCHINJWA
Taarifa zilizoufikia mtandao huu na kuthibitishw ana baadhi ya watu ni kwamba, kumetokea tukio la mauaji la mwendesha pikipiki maarufu kama bodaboda mjini Morogoro, ameuawa kwa kuchinjwa na kutobolewa mwili …Read More
TFF YASITISHA TIKETI ZA ELEKTRONIKI KUUZWA KWENYE MAGARI
Ligi
Kuu ya Bara inaendelea wikiendi hii
ambapo tiketi za elektroniki hazitauzwa tena kwenye magari, hivyo washabiki
wanunue tiketi hizo kwenye mtandao au kwenye maduka ya CRDB Fahari Huduma.
Kesho
…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment