
Hatimaye Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika na mwanasheria mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu , ameagwa rasmi na kupelekwa nchini Ubelgiji kwa matibabu. Leo katika Hospitali ya Nairobi watu wengi walifurika kumuaga lakini kubwa ni ile ahadi yake ya kuwwidi watanzania kwamba mapambano bado yanaendeleo.
Ubalozini.blogspot.com tunamtakia Tundu Lissu matibabu ya haraka na Mungu amsimamie ili aweze kurejea katika majikumu yake ya kitaifa
0 MAONI YAKO:
Post a Comment