Mwenyekiti
wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe akiweka shada la Maua kwenye kaburi la
Marehemu Anastanzia Mayunga ambaye ni Mama wa Peter Kibatala aliyefariki
tarehe 11/1/2018 na kuzikwa kwenye makuburi ya Kakola, Mkoani Morogoro.
Makamu Mkt CHADEMA Bara Prof Abdallah Safari akiweka shada la maua
kwenye kaburi la marehemu Anastanzia Mayunga mama mzazi wa Wakili Peter
Kibatala Mkurugenzi wa Sheria, Katiba na Haki za Binadam Makao Makuu ya
CHADEMA.
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema – Bara, John Mnyika (Mb) akiweka shada la maua kwenye kaburi.
Mbowe akiteta jambo na Susan Kiwanga kwenye msiba huo.
Mhe. Susaz Kiwanga (Mb) akiweka shada la maua kwenye kaburi la Marehemu.
Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita akiweka shada la maua kwenye kaburi la Marehemu.
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema – Zanzibar, Salum Mwalimu akiweka shada la maua kwenye kaburi la Marehemu.
Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita akiweka shada la maua kwenye kaburi la Marehemu
.
Naibu
Katibu Mkuu Zanzibar Mhe Salum Mwalimu akimpa pole Wakili Peter
Kibatala Mkurugenzi wa Sheria, Katiba na Haki za Binadamu Makao Makuu
CHADEMA kwa kufiwa na mama yake mzazi.
PICHA NA CHADEMA MEDIA
0 MAONI YAKO:
Post a Comment