RAIS John Magufuli ameagiza kusitishwa kwa
usajili wa meli mpya Tanzania Bara na visiwani hadi hapo
itakapotangazwa vinginevyo kufuatia kukamatwa kwa meli 5 zinazopeperusha
bendera ya Tanzania zikiwa na dawa za kulevya.
Hatupo tayari kuungana na chama kingine - TLP
Chama
cha TLP kimesema hakipo tayari kuungana na chama kingine chochote kile
kwa makubaliano ya kumsimamisha mgombea mmoja badala yake
kitasimamisha mgombea wake makini ambaye ataingia katika kinyang’anyir…Read More
Fi Q: Naogopa uwongo wa Siasa
Bongo
Fleva mwaka huu inaweza kumake headlines zaidi kisiasa kama
waliotangaza nia wakafanikiwa kushika nafasi hizo wanazoziomba kutoka
kwa Watanzania,kuna waliotangaza kugombe Ubunge na wapo waliotanga…Read More
Wema afurahi kukubalika aanza safari rasmi ya siasa
Mgombea
nafasi ya ubunge viti maalum CCM mkoa wa Singida, Wema Sepetu,
akisindikizwa kwa maandamano kuelekea ukumbi wa mkutano wa kanisa la
katoliki mjini Singida, kushiriki zoezi la uchaguzi…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment