January 28, 2018

Image result for Mbosso - Watakubali 
Kimya kikuu kina mshindo mkuu. Ndivyo waswahili huwa tunasema na huwa tunapenda kulithi maneno haya toka kwa Wahenga. Sasa kimya cha nmwanamuziki wa Yamoto Band aliyesajiliwa W C B, Malombosa ameachia wimbo wake unaitwa Wtakubali? Malomboso kama tulivyomzoea kwa jina hilo, lakini kwa sasa anatambulika kwa jina la Mbosso.Tazama video hiyo hapa chini. 
                      

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE