January 28, 2018

 
Tukio linaloendelea kwa sasa ni la kundi la WCB, kufanya utambulisho Rasmi wa mwnamuziki Malombosso ambaye kwa sasa anaitwa Mbosso. Katika utambulisho huwo Mdau wa muziki na meneja nguli nchini Said Fella katika mazungumzo yake ameshauri wanamuziki Diamond na Alikiba wamalize tofauti zao na kufanya wimbo wa pamoja.

                         

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE