Mkuu
wa Wilaya ya Pangani Zainab Abdallah kupitia ukurasa wake wa Instagram
amempongeza mume wake Abdul Mohamed kwa kuoa mke wa pili.
"Kwa kuwa dini yetu ya Kiislam inaruhusu, wazo lilitoka kwangu, kulingana na majukumu yangu nalazimika mda mwingi kuwa mbali hivyo mume wangu anakosa huduma za msingi"

0 MAONI YAKO:
Post a Comment