February 10, 2018

Image result for Kwanza Unit
Kama utayataja makundi ya zamani sana kwenye muziki wa Bongo Fleva, basi lazima uitalikumbuka hili kundi la kwanza Unit. Ni moja ya makundi ya zamani kabisa katika game ya Bongo. Tunaweza kusema ni makundi waasisi wa muziki huu nchini. Wimbo wao uliofanya poa zaidi ni huu wa Msafiri Tazama Video yao hapa chini

                  

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE