February 10, 2018

 
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Dyana Nyange, katika usiku kusheherekea siku ya kuzaliwa kwa mtayalishaji wa muziki T-Touch anayejulikana kwa kutengeneza nyimbo kali za miondoko ya bongo fleva,Dyana Nyange alitoa mpya baada ya kumuamuru mtayalishaji Muziki kwa kumlisha kwa manjonjo mpezi wake kwani kumficha akukumtendea haki dada huyotafrija hyo nilifanyika katika ' ukumbi wa 'Kwetu pazuri' Uliopo tabata jijini Dar es Salaam,


                   

Related Posts:

  • Pitio la Magazeti ya leo April 07/2015 Habari za leo hii mpenzi msomaji na mdau wa ubalozini.blogspot.com. Leo ni jumanne ya 07 April 2015, tunakupa fursa ya kujua japo kwa ufupi kilichoandikwa katika magazeti ya leo. Ukiitaji kujua kwa undani pitia katika meza z… Read More
  • Ugaidi:Tanzania yajiweka katika tahadhari Maafisa wa polisi Waziri wa Mambo ya ndani nchini Tanzania amesema nchi hio ipo katika tahadhari ya juu kufuatia taarifa za vyombo vya habari nchini humo kwamba, kuna uwezekano wa shambilio la ugaidi katika miji ya Dar es sal… Read More
  • Boko Haram waua watu 20 Nigeriaboko haram Watu 20 wameuawa mashariki mwa Nigeria kufuatia mashambulizi mapya yanayoendeshwa na kundi la Boko Haram katika eneo hilo. Eneo la kwaJaffa, katika jimbo la Borno, lilishambuliwa Jumapili jioni na washambulizi hao … Read More
  • 36 wafariki BangladeshiMvua ya dhoruba kali iliyotokea katika mji wa Dhakanchini Bangladeshi imewauwa watu wapatao 36 na kuwajeruhi watu zaidi ya 200.  Mwandishi wa gazeti la local Prothom Alo ametangaza… Read More
  • Makaburi ya halaiki yafukuliwaMakaburi ya halaiki yafukuliwa Tikrit Wataalamu wa kuchunguza maiti, wameanza kuyafukua zaidi ya makaburi 12 ya halaiki, katika mji wa Tikrit, nchini Iraq. Hatua hiyo imekuja siku kadhaa baada ya wapiganaji wa Islamic State, … Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE