February 04, 2018


                               
Siku ya Hijabu duniani (WHD) ilianzishws tarehe moja mwezi wa pili mwaka 2013 na Nazma Khan.
Lengo kuu likiwa ni kutambua mamilioni ya wanaweke wanovaa vazi hili na kuendela na maisha yao. Nazma amekieleza kituo cha Aljazeera kuwa alianzisha siku hii kwa kuwa watu wengi walikuwa wakiona mtu anayevaa Hijab wanamfananisha na gaidi.
“Every day, I would face different challenges just walking on the street,” she told Al Jazeera. “I was chased, spit on, surrounded by men, called a terrorist, Osama bin Laden, etc,” ameelza Nazma.
Ameongeza mrembo huyo Hijab is not just a piece of cloth I use to cover my head, It’s much more than that. Hijab represents who I am as a person.”
Kwa mwaka huu slogani ya siku hiyo ambayo husheherekewa kila mwaka mwezi wa pili tarehe moja ni #StrongInHijab

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE