February 03, 2018


                                
Shughuli za kupumzisha mwili wa mwanamuziki wa Kundi la Goodlyfe, Mowzey Radio maarufu kama Radio katika nyumba yake ya milele zimefanyika jana mchana katika kijijini cha Kaga nchini Uganda.
Muimbaji huyo wa Uganda alifariki Alhamisi hii akiwa katika hospitali ya Case ya nchini humo baada kudaiwa kushambuliwa na baunsa na kusababishiwa kuvunjika fuvu la kichwa pamoja na uti wa mgongo.


                                



 


 




Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE