
Baada ya kupost katika a/c yake facebook muda mfupi uliopita na kulala mika kuhusu kutohusishwa katika tamasha ya FIESTA, hatimaye Mnyama, T.I.D ametajwa kuwa ni miungoni mwa wasanii watakaopaform katika jukwaa hilo siku ya jumamosi ijayo. Bhaaaassss
0 MAONI YAKO:
Post a Comment