October 02, 2012

 
DNA akiwapagawisha mashabiki waliofurika ndani ya Dar Live usiku wa kuamkia leo.
 
…Akifanya makamuzi ya nguvu.
 
Dully Sykes akiwapa ‘hi’ mashabiki.
 
Roma akiwahamasisha mashabiki wake.
 
Jhikoman alipokuwa akitoa burudani ya Jumapili.
 
Jike la Simba, Isha Mashauzi, akiwajibika.
 
DNA akiwasilisha ujumbe kwa mashabiki.
 
Shadrack Joseph (mwenye suruali nyeusi) akicheza na kundi lake kibao cha marehemu Michael Jackson kiitwacho Thriller.
 
Rukia Juma ‘Mamaa Mashauzi’ akikamua na kundi la Mashauzi Classic.
 
Sehemu ya wanamuziki wa Mashauzi Classic wakiwa kazini.
 
Mkali wa sarakasi, Zungu Tasha, akifanya vitu vyake.
 
Shabiki ‘aliyeleta za kuleta’ akiondolewa na mabaunsa.
UMATI wa wapenzi wa burudani jana walibanjuka na msanii Denis Kaggia ‘DNA’ kutoka nchini Kenya katika onesho
lililofanyika ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala jijini Dar es Salaam.
Burudani hiyo ilisindikizwa na wasanii mbalimbali wakiwemo mkali wa muziki wa reggae Jhikoman, Kundi la Taarab la
Mashauzi Classic, wanamuziki wa kizazi kipya, Shadrack Joseph, Roma, Dully Sykes na burudani ya sarakasi kutoka
mkali wa ishu hizo, Zungu Tasha.
(PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS / GPL)

Related Posts:

  • Hiki ndiyo kilio chA CCM 2015. Hawa jamaa wawili kwa kweli kwa pamoja tunaweza kusema wamepeleka kiliomtaa wa Lumumba, waswahili husema kwa mjinga huenda kicheko lakini kwa mwelevu huenda kilio. Ujio wa Lowassa UKAWA umepeleka kilio kikubwa san… Read More
  • Familia zaidi ya 30 Morogoro zakosa makazi Kaya 30 za kata ya Kilakala manispaa ya Morogoro hazina makazi baada ya nyumba zao kuzingirwa maji kufuatia mvua zilizo nyesha mda mfupi na kusababisha maji kuacha muelekeo baada ya kuziba mifereji ya kuyapitisha kisha kuing… Read More
  • Shindano kubwa la kusaka vipaji vya kuchezea mpira Tanzania Freestyle football championship (TFFC2016) ambalo  ni shindano la kutafuta/kusaka vipaji vya kuchezea mpira yaani freestyle soccer/Freestyle Football wengi hupenda kuita hivyo ambalo… Read More
  • Obama aing'oa Burundi Mshirikishe mwenzako Image copyrightAFPImage captionMarekani imeiondoa Burundi kutoka kwenye mikataba yake ya kibiashara AGOA iliyowezesha mataifa ya Afrika kuingiza bidhaa zao katika soko la Marekani bila kulipa kodi. Mare… Read More
  • Picha za Party ya miaka miwili ya ukumbi wa Samaki Spot Morogoro  seneta balali wa tigo naye alikuwepo  Waluguru Original wakifanya yao  DJ JD akiwa tayari kabisa kufanya makamuzi usiku huwo  Mkurugenzi wa Samaki akijiandaa kukata keki … Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE