Isha Mashauzi akiwa na Mashauzi Classic mkoani Morogoro, aliwapagawisha mashabiki wake katika show iliyofanyika ndani ya Air Pub mkani Morogoro, pale aliposimama na kuimba wimbo wa Ben Pol
Bunge la Afrika Kusini kusimama kupinga ubaguzi
Bunge la Afrika Kusini litasimamisha shughuli zake wiki ijayo kwa ajili
ya kuendesha mapambano ya kupinga ukatili dhidi ya wageni nchini humo.
Ripoti iliyotolewa jana na bunge hilo imesema kuwa, wiki ijayo bunge
…Read More
Sherehe za miaka 100 zafanyika Gallipoli
Sanamu za makumbusho Gallipoli
Sherehe zimefanyika eneo la
Gallipoli nchini Uturuki kuadhimisha miaka mia moja tangu uvamizi wa
kijeshi uliofanywa eno hilo na wanajeshi wa muungano wa…Read More
Tetemeko kubwa la ardhi laikumba Nepal
Tetemeko kubwa la ardhi limekumba eneo lililo magharibi mwa Nepal.
Shirika
la utafiti la Marekani lilisema kuwa tetemeko hilo la vipimo vya 7.5
lilikumba aneo liilo umbali wa kilomita nane mashariki mwa Pokhara, …Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment