February 10, 2018

 Usiku wa kuamkia 10 February 2018 ndani ya ukumbi wa Air Port Pub Mazimbu Morogoro, ilifanyika bonge ya show iliyofahamika kwa jina la usiku wa Mama, ambao band ya Muziki wa Taarab ya Mashauzi Classic chini ya Isha Mashauzi ndiyo ilitumbuiza. Palikuwa hapatyoshi kufuatia ukubwa wa show hiyo iliyowachengua mashabiki wa mji .

Katika Show hiyo pia malkia Isha Mashauzi, alikuwa akihadhimisha siku yake ya kuzaliwa, ambapo ilikatwa keki na kuliwa na mashabiki na wadau



 Keki ikaletwa Jukwaani





 Isha akiwa na mdau wake



 Warda Makongwa kushoto akiwa na Team Warda wakipiga picha ya pamoja na Isha


Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE