Mzee wa mbesi Enock Bella wa Yamoto Band, sasa kazi tu. Ameachia Rasmi wimbo wake wa Kurumbembe. Katika wimbo huu Enock anaonekana kufanya vizuri zaidi kutokana na mziki alioufanya utamfya kubadilisha style ya muziki wa Tanzania kwa sasa. Utabiri wangu tu.
TUFUATE TARATIBU ILI KUDUMISHA AMANI YETU- MALECHA
-
Na Mwandishi wetu, Dar
Khalid Malecha, Mkazi wa Kitonga Jijini Dar Es Salaam, ameeleza kuwa maelfu
ya wananchi waliathirika moja kwa moja na ghasia na m...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment