Audio ya wimbo huu wa Dayna Nyange, ilishatambulishwa tayari siku ya Alhamisi. Leo hii ametuletea Video ya wimbo wa Salesale. Video ipo katika ubora wa hali ya juu kabisa na inawezekana ikawa ni miungoni mwa Video Bora kabisa kwa mwaka 2018
NASH MC AWEKA SOKONI BBM YAKE WAHI
Msani wa muziki wa Hip Hop Tanzania na mwanaharakati wa Lugha ya
Kiswahili NASH MC ameweka sokoni wimbo wake mpya unaoitwa BBM.
Akiwasiliana nami kwa njia ya sms NASH am…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment