
ufuatia tukio hilo Wasanii na watu mashuhuri nchini Tanzania wamempongeza AY kwa kukamilisha tukio hilo tukufu.
PROFESSOR JAY:
professorjaytzHongera sana Mdogo wangu @aytanzania na mkeo @remyrwanda kwa hatua hii muhimu ya Kufunga Pingu za Maisha, Mungu awasimamie na awabariki zaidi na zaidi muwe na maisha Mema yenye furaha na baraka tele🙏🙏🙏
@fundifrank @moshiiri Wakujipekecha mmetisha sana🔥🔥🔥🔥🔥
DIAMOND PLATNUMZ:
diamondplatnumzSuper Congrats Legend…. Mwenyez Mungu Awajalie Ndoa Yenye Furaha, Amani na Baraka tele @aytanzania
MWANA FA:
mwanafamy brother @aytanzania ,karibu kwenye hili timu la watu wazima wenzio..Mungu awabariki wewe na shemeji wa Taifa @remyrwanda kwenye muunganiko wenu huu..Godspeed my G.
Ila Rwanda hapana aisee,hapana / photo by @mxcarter
B-DOZEN:
bdozenHongera Sana Toyoyo @aytanzaniaMwenyezi awaongoze kwenye hili we Na #Remy! Na nawaombea Ndoa idumu Milele!!!
0 MAONI YAKO:
Post a Comment