
Kiongozi na mbunge wa Kigoma Mjini kupitia chama cha ACT Wazalendo Ndugu zitto Kabwe, anashuikiliwa na jeshi la Polisi Mkoani Humo. Kwa mujibu wa taarifa za kichama kupitia ukurasa wa Twitte, Ndugu zitto amepelekwa katika kituo kikubwa cha polisi na bado haijafahamika sababu za kukamatwa kwake

Kiongozi wa Chama Ndugu @zittokabwe amenyimwa dhamana, hivyo bado anashikiliwa katika kituo kikuu cha Polisi Morogoro. #KCTourOfWards @TheCitizenTZ @JamiiForums @MtanzaniaNews @dw_kiswahili @bbcswahili @ABOODTV255 @Uhurubilamipaka @kwanza_tv @swahilitimes @darmpya_

Taifa Kwanza ✋ @ACTwazalendo 4 hours ago
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu @zittokabwe ametuhumiwa kufanya Unlawful Assembly S. 74 cap 16 ya Sheria ya Kanuni ya Adhabu! - @Immamvula #KCTourOfWards @TheCitizenTZ @BBCSWAHILI1 @VOASwahili @dw_kiswahili @MtanzaniaNews @GlobalHabari @JamiiForums @millardayo_
Baada ya kuandika maelezo akiwa na Wakili wake @Immamvula toka Saa 22.42 hrs mpaka saa 23.40 usiku. Polisi wamekataa kutoa dhamana kwa maelezo wanasubiri maelekezo toka kwa wakubwa wao! Hivyo amewekwa mahabusu Kituo Kikuu cha Polisi Morogoro - @Immamvula
Polisi wamekataa kusema kama dhamana ipo wazi na masharti yake nini. Pia wamekataa kusema iwapo kesho watampeleka mahakamani kwa mujibu wa sheria au la. Emmanuel Lazarus Mvula Wakili wa @zittokabwe #KCTourOfWards @TheCitizenTZ @JamiiForums @millardayo_ @swahilitimes
0 MAONI YAKO:
Post a Comment