March 18, 2018

Machaku Media, tunakukutanisha na mtangazaji wa kipindi cha Planet Base cha Planet Fm ya Morogoro. Jamaa anaitwa Peace Ze Prezdaa. Hapa licha ya kufanya kipindi cha kiburudani katika radiko, lakini hapa anajaribu kuzungumzia kuhusu maisha tunayoishi, yakawaida kabisa. Jumaapili hii na kila jumapili, tutakuwa tunakukutanisha naye katika sagment hii ya About Life. Twende sasa kwa kumskiliza hapa chini

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE