March 14, 2018

Wakazi wa mkoani Morogoro wametakiwa kuchangamkia fursa ya kujikwamua kiuchumi kupitia bahati nasibu ya 3 Mzuka. akizungumza na wakazi wa mji wa Morogoro katika hafla ya 3 Mzuka on saturday iliyofanyika wikend iliyopita katika ukumbi wa Mount Uluguru mkoani Morogoro, Afisa Mkuu wa Masoko, wa Tatu Mzuka Sebastian Maganga amesema , ni wakati sasa wa wakazi wa Morogoro kuitumia fursa hiyo iliyo mbele yao ili kujikwamua na Familia zao. Seba Maganga amesema hii Bahati Nasibu imeweka dhamira ya dhati kabisa na ndiyo maana inatoa washindi kila baada ya saa moja. Kupitia tatu mzuka unaweza kucheza kuanzia shilingi mia tano tu na kuweza kuibuka milionea. Pia ndugu Seba amewasisitiza wakazi hao kuwa Bahati Nasibu ya Tatu mzuka, inawahusu watu wazima tu walio na juu ya miaka 18, hivyo basi si vyema na ni makosa kuiwaruhusu watoto wadogo kucheza bahati nasibu hiyo.
Mkuu wa vipindi Planet Fm Warda Makongwa ambaye ndiye muandaaji wa Hafla hiyo kupitia Planet Fm,akitoa shukrani kwa wakazi wa Morogoro

Wrada Makongwa akiwa na Seba Maganga wakiwasikiliza wadau kwa umakini



Mmoja wa washindi wa Ttau mzuka mkoani Motrogoro Mzee Kiss akitoa ushuhuda wa kushinda kwake



0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE