Kutoka Morogoro Town au vijana wanaita Mor Town, yule mkali wenu wa kuandika, kuimba na kupangilia sauti, Mr. Kinyulinyuli kama wengi wanavyotamani kumuita ila mimi namwita Sameer, ameika toka alipojificha. Wimbo wake mpya huu hapa unaitwa Sawa amefanya katika studio za Mahewa Record chini ya Producer Willy Matajili
March 07, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 MAONI YAKO:
Post a Comment