March 25, 2018

 Kina mama wa Mkoa wa Morogoro wametakiwa kuchangamkia Fursa za kibiashara zilizopo mkoani hapo.  Hayo yamezungumzwa na katibu tawala mkoa wa Morogoro Cloford Tandari  ambaye ndiye aliyekuwa mgeni rasmi katika hafla ya Malkia wa Nguvu iliyofanyika mkoani hapa 24 March 2018 katika ukumbi wa Gronency Hotel 88 . Katika wasaa wake kwa malkia hawo wa nguvu kampeni inayoendeshwa Clouds media Group ikiwa na lengo la kukuza uchumi kwa wanawake  kupitia ujasiliamali. Mh: Tandari pia amewapongeza Clouds Media group kwa kampeni yao hii huku akiwataka wananchi waendelee kuifwatilia Clouds Radio na TV popote walipo duniani. 



Zaidi tazama video hii

                          

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE