Yanga SC yaangukia katika michuano ya kombe la Shirikisho baada ya
kutolewa klabu bingwa Barani Afrika dhidi ya Township Rollers FC huko
nchini Botswana.
Yanga SC imeyaaga mashindano hayo baada ya kulazimishwa sare ya bila kufungana huku mchezo wa awali uliyopigwa jijini Dar es Salaam ilikubali kipigo cha mabao 2 – 1.
Kwa matokeo hayo sasa timu itatinga kombe la Shirikisho Barani Afrika kutokana na matokeo yake iliyopata michuano ya klabu bingwa Afrika.
Township Rollers inafanikiwa kusonga mbele hatua ya makundi na kuweka historia hiyo baada ya kuwa na safari ngumu wakati ikiwa imekutana na Al Merkhe kabla ya kukutana na Yanga SC

0 MAONI YAKO:
Post a Comment