Binti huyo anayejulikana kwa jina la Nacima Qorane amekuwa akiandika mashairi ya kuhamasisha Somaliland kuungana na Somalia.
Somaliland ilijitambulisha kuwa huru mwaka 1991 na kujitenga na nchi ya Somalia japokuwa nchi hiyo haitambuliwi kimataifa kama nchi.
Hatahivyo wanaharakati wa haki za binadamu nchini humo wameomba kuachiliwa kwa binti huyo kwani alichokifanya ni uhuru wake wa kujieleza ambao uko ndani ya haki za binadamu
0 MAONI YAKO:
Post a Comment