Mbunge wa Kigoma mjini ambaye pia ni Kiongozi mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto Zuberi Kabwe, muda huu anaongea na wananchi kupitia waandishi wa Habari Mjini Dodoma.
Tazama hapa Live mkutano huo wa Zitto na wana Habari unaoendelea sasa
Machaku
0 MAONI YAKO:
Post a Comment