Imeelezwa kuwa Basi hilo la Polisi lilikuwa likitokea jijini Dodoma kwenye sherehe za Muungano zilizofanyika jana Aprili 26, 2018 huku Noah hiyo iliyokuwa na Wanajeshi takribani 6 pamoja na mtoto ikitokea Morogoro.
Hata hivyo, bado hakuna taarifa ya vifo kwenye ajali hiyo na Kamanda wa Polisi, Ulrich Matei amesema atatoa taarifa za kina baaadae.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment