Mwanamuziki Alikiba, amefunguka na kuwatoa wasiwasi mashabiki wake juu ya kukwama kuongezeka Views wa youtube katika wimbo wake mpya wa Ngurumo ya Radi. Kupitia ukurasa wake wa Instagram alikiba ameandika
officialalikibaTunafahamu
tatizo la kutokuongezeka kwa views kwenye akaunti ya YouTube ya
ALIKIBA, na tupo kwenye mawasiliano ya moja kwa moja na makao makuu ya
YouTube Africa ambao wanafanya kila jitihada kutatua tatizo hili kwa
haraka iwezekanavyo.:
Shukrani kwa uvumilivu wenu na support mnayoendelea kutupa! Endeleeni kuangalia video ya #MvumoWaRadi
#KingKiba
0 MAONI YAKO:
Post a Comment