May 13, 2018


Mkuu wa vipindi na uzalishaji wa Clouds Media Group Ruge Mutahaba  ni miongoni mwa washiriki waliosimama kutoa darasa katika semina ya Wanafunzi wa chuo kikuu Dodoma (UDOM) iliyofanyika katika ukumbi wa Chimwaga lengo likiwa ni kuwajengea uwezo wa kubadilisha fikra na kutimiza wajibu wao katika sekta ya elimu na jamii kwa ujumla.Akizungumza katika Hafla hiyo, ndugu Ruge amewataka vijana kuacha kulalamikia mitaji na badala yake kuwa wabunifu zaidi.
Tazama Video hapa chini

                 

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE