Baada ya albamu ya KOD kufanya vizuri na kujiwekea rekodi kibao, J.Cole ametangaza ziara yake ya muziki kwa mwaka huu.
Ziara hiyo aliyoipa jina la KOD Tour inatarajiwa kuzunguka katika miji kibao nchini Marekani akifuatana na Young Thug.
Ziara hiyo inatarajiwa kufikia tamati Oktoba 10 kwenye mji wa Boston.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment