May 08, 2018

Wolpe Ajibu Listi ya Wanaume Aliotajiwa na Harmonize "Umenionea Ile List ni Ndogo Sana"
Mwanadada Wolper amemjibu  msanii wa muziki Harmonize kwa kumwambia kuwa anaona kama ameonewa kutokana na list hiyo aliyoitao yeye kuhusu idadi ya wanaume aliowahi kutembea nao na kusema kuwa mbona kama list hiyo ni ndogo sana.

Wolper anasema kuwa kuna baadhi ya watu Harmonize amewasahau na kwake anaona kama ameonewa kwa sababu hiyo sio idadi kamili ya wanaume aliyowahi kuwa nao kabla ya kwake yeye , lakini pia wolper amemjibu kuwa kuna baadhi ya wanaume ambao amewaweka kimakosa, kwaio kama anataka ni bora amfate mwenywe ili ampe aliowasahau na pia ampe majina ya ukweli.

"Mwanaume eeh mwanaume eeh hivi ule wimbo walioimba ni TMK,  Embu tushushe mistari kidogo,  ya ile nyimbo ya wanaume eeh #listndogosanaumenionea #alafukunawengineumekosea #njoodmnikupewaukweli #basiyulewanyumanikajuanimmasaikumbemzungu.

Related Posts:

  • Yanga yamlilia Chamangwana   Timu ya soka ya Yanga ya jiji Dar Es Salaa, imemkumbuka aliyhekuwa kocha wake wa wakati hueo Mmalawi Jack Chamangwana iliyefariki Dunia jumapili iliyopita. R.I.P Coach Jack Chamangwana. Ulikuwa sehemu ya mafanikio… Read More
  • Mzee Yussuf kulipua bomu   Aliyewahi kuwa mwimbaji mahiri wa muziki wa Taarab nchini ambaye pia alikuwa Mkurugenzi wa kundi la Jahazi Modern Taarabu, Mzee Yusuph amefunguka na kusema kuwa hazitapita siku tatu lazima alipue bomu.  … Read More
  • Sir Alex Ferguson afanyiwa upasuaji kwenye ubongo                   Kocha wa zamani wa klabu ya Manchester United, Sir Alex Ferguson jana Mei 05, 2018 amefanyiwa upasuaji mdogo kwenye k… Read More
  • NECTA: Watakaofanya udanganyifu wa aina yoyote kukiona cha moto Na Said Mwishehe,Blog ya jamii BARAZA la Mitihani la Tanzania(Necta) limetoa onyo kali kwa wamiliki wa shule,walimu na wananchi kutojihusisha na vitendo vya udanganyifu wa mitihani ya Kidato cha Sita na Koz… Read More
  • Kitila Mkumbo atii agizo la Rais Magufuli Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitila Mkumbo, ametekeleza kwa vitendo agizo alilopewa na Rais Magufuli, la kwenda kijijini Tundu, Wilayani Mikumi kushughulikia kero ya mradi wa maji kijijini hapo. Mei … Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE