
Timu ya soka ya Yanga leo imeshindwa kutetea taji lake la ubingwa baada ya kupokea kipogo cha gori mbili kwa bila mbele ya mwenyeji wake Tanzania Prisons katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.

Goli lililofungwa Dk 58 na Mpepo na dk ya 85, Salum Bosco aliyeingia dakika chache ndiyo magoli yanayoivua rasmi taji la Ubingwa timu ya Yanga ambawo ndiyo mabingwa wa kombe hilo mara tatu mfululizo
0 MAONI YAKO:
Post a Comment