Mpenzi mtazamaji wa ubalozini Blo. Tumekuwekea swala ya Isha kutoka katyika msikiti mkuu Makkah Saudiarabia. Swala imeongozwa na shekh Taalib
Machaku
‘Msiangalie Jua Bila Miwani Maalumu’ Siku ya Kupatwa Kwa Jua
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia (Must), Wilson Kiunsi
amewataka wakazi wa mikoa ya Mbeya na Iringa kuacha kuliangalia jua bila
miwani maalumu litakapopatwa Septemba Mosi kwa zaidi ya saa tatu.
Jua h… Read More
New Audio: Husomeki - Suleider
Ni moja ya wanamuziki chipukizi toka mkoani Morogoro, anaitwa Suleider toka Selenge Intertaiment. Amekuletea wimbo wake unaitwa Husomeki. Audio ya wimbo huu imefanyika katika studio za Sky Revolution zilizopo mkoani Moro… Read More
CRDB: Hali ya Uchumi Tete nchini
BENKI ya CRDB imesema imepunguza kasi ya utoaji mikopo kuangalia hali ya uchumi nchini inavyokwenda.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Dk.
Charles Kimei, alisema kwa sasa beni… Read More
Pazia La Ligi Kuu Tanzania Bara 2016/17 Kufunguliwa Kesho
Ligi
Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2016/17 inatarajiwa kuanza kesho
Jumamosi Agosti 20, 2016 kwa michezo mitano huku Bingwa Mtetezi wa Kombe
hilo 2015/16, Young Africans ya Dar es Sa… Read More
BASATA Yatoa Salamu Za Rambirambi Kufuatia Kifo Cha Msanii Shakila
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limepokea kwa masikitiko na majonzi makubwa kifo cha Msanii wa muziki wa taarab Bi. Shakila Said kilichotokea ghafla nyumbani kwao Mbagala jijini Dar es Salaam jana Ijumaa ya tarehe … Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment