Fainali za Sports Extra Ndondo Cup, zinakwenda kumalizikia leo hii kwa kuwakutanisha Manzese Utd na Kivule United. Kupitia Dauda TV, Nasi tnakuletea fainali hizo live hapa.
Ngoma, Tambwe wapata dili England
Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe.
HUENDA siku za mastraika Donald Ngoma na Amissi Tambwe zikaanza
kuhesabika kwani Derby County FC ya England imeonyesha nia ya
kuwasajili.
Derby County ya Ligi Daraja la Kwanza En…Read More
Wema, Dimpoz, wanaswa live
Wema Sepetu chumba kimoja na staa wa Bongo Fleva, Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’.
DAR ES SALAAM: LICHA ya tetesi
kuzagaa kuwa amerudiana na mpenzi wake, Idris Sultan, mtoto mzuri Bongo
Muvi, Wema Sepetu kwa mara ny…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment