Tamasha la Fiesta, ndilo Tamasha linalotambulika kuwa ni tamasha kubwa la burudani nchini Tanzania. Katika msimu wa Fiesta , mambo mengu huandamana na tukio hili kubwa la kihistoria. Lakini katika Fiesta ya mwaka jana, lilitokea tukio la aina yake na kuwaacha wasanii wakichanganyikiwa. Ebu tazama hii video hapa chini
August 04, 2018
1:15 PM
Machaku
No comments
Tamasha la Fiesta, ndilo Tamasha linalotambulika kuwa ni tamasha kubwa la burudani nchini Tanzania. Katika msimu wa Fiesta , mambo mengu huandamana na tukio hili kubwa la kihistoria. Lakini katika Fiesta ya mwaka jana, lilitokea tukio la aina yake na kuwaacha wasanii wakichanganyikiwa. Ebu tazama hii video hapa chini
Related Posts:
Zitto Kabwe afunguka baada ya kuachiwa Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa ACT – Wazalendo baada ya kukamatwa na polisi na kuachiwa kwa dhamana amesema kuwa Rais alisema kuwa akamatwe na asingekamatwa angeshangaa: Tazama video hii Zitto Mh. akieleza &… Read More
Aslay avuta ndinga mpya Msanii wa muziki wa bongo fleva Aslay Isihaka ambaye kwa sasa anafanya vyema na wimbo wake 'Natamba' amefunguka na kushukuru uongozi wake mpya kwa kufanikisha yeye kuweza kupata … Read More
Mbwana Samatta atajwa kuwania tuzo ya mchezaji bora Afrika 2017 Shirikisho la Soka Barani Afrika CAF imetaja orodha ya wachezaji 30, watakao wania tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2017 huku jina la mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta anayecheza K… Read More
New Music: Yemi Alade ft. Youssoupha – Hustler Anatambulika kwa jina la Mama Afrika, lakini jina lake ni Yemi Alade. Ametuletea wimbo wake mpya unaitwa Hustler hapa akimshirikisha mwanamuziki Youssoupha. Listen Up and Enjoy … Read More
Nay wamitego aitabilia kifo Bongo Fleva Msanii Nay wa Mitego amefunguka na kusema kuwa ndani ya miaka miwili au mitatu inayokuja anaona wazi muziki wa bongo fleva unakwenda kufa kama ambavyo tasnia ya filamu bongo ilivyokufa kwa kile anachodai wasan… Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 MAONI YAKO:
Post a Comment