Stamina kuandika Historia kesho Morogoro
Kwa mara ya kwanza mwanamuziki wa Hip Hop toka mkoani Morogoro STAMINA kesho ataandika historia ndani ya mkoa huo kufuatia uzinduzi wa Albam yake ya MT. Uluguru
Uzinduzi huo utakaofanyika …Read More
Tamsha la Usiku wa Mangwea lafanyika Morogoro
Swahiba mkubwa wa Marehemu Albert Mangweah M 2 THE P akiimba kwa hisia kali usikuwa leo
Tamasha la kumbukumbu maalum kwa merhrmu Albert Mangweah limenyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Maisha Club mkoani …Read More
Rais Kikwete afanya mabadiliko wakuu wa Wilaya
Rais Dk. Jakaya Kikwete.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Anthony Peter Mavunde
kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Mkoa wa Dodoma, kuanzia leo,…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment