
Kinyang'anyiro cha kumpata miss kanda ya Ziwa maarufu miss Lake Zone 2018, zimefikia tamati usiku wa kuamkia leo baada ya mrembo toka Mwanza Sharon Headlam kuibuka kidedea katika shindano hilo. Bibie. Sharon ataungana na washindi wengine watatu kwenda kushiriki NewMissTanzania2018 hivi karibuni

0 MAONI YAKO:
Post a Comment