June 29, 2013


 Huu ni muenekano mpya wa mwimbaji wa wimbo wa Leo, akishirikiana na Mr Blue, Dayna Nyange, akiwa na mwanadada matata, Jokate Mwigelo. Hapo vipi?


 Safi saaaaana. Dayna pia ameimba nyimbo mbalimbali, ukiwamo ule wa Nivute Kwako.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE